Ndege ya abiria iliyokuwa safarini kwenda Lamu kutoka Uwanja wa Ndege wa Wilson, Nairobi imepata ajali asubuhi ya Ijumaa, Oktoba 11, ilipokuwa ikipaa angani.

Inaarifiwa kuwa, abiria kadhaa waliokuwa katika ndege hiyo ya kampuni ya Silverstone wamepata majeraha mbalimbali na kukimbizwa hospitalini.

Mengi kufuatia punde…

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here