-Ajali hiyo ilitokea 7 am na ilihusisha lori la kampuni ya DHL lililopoteza mwelekeo kwenye barabara yenye utelezi kwa kuwa rasharasha zilikuwa zikishuhudiwa

– Walioamka mapema kwenda kazini na wafanyabiashara wa maeneo ya kariu waliacha mipango na shughuli zao kubeba bia za bwerere

Polisi walipatwa na hali ngumu kuwaondoa wakazi wa Roysambu waliokuwa wakifakamia bia ya bure baada ya lori kuhusika kwenya ajali Jumamosi, Oktoba 5.

Habari Nyingine: Mkewe Boni Khalwale aaga dunia

Ajali hiyo ilitokea 7 am na ilihusisha lori la kampuni ya DHL lililopoteza mwelekeo kwenye barabara yenye utelezi kwa kuwa rasharasha zilikuwa zikishuhudiwa.

Walioamka mapema kwenda kazini na wafanyabiashara wa maeneo ya kariu waliacha mipango na shughuli zao kubeba bia za bwerere.

Habari Nyingine: Rais Magufuli ampongeza afisa wake, Albert Chalamila kwa kuwatandika wanafunzi viboko

Wenye magari binafsi nao pia ahawakuuchwa nyuma na kila mtu alipora kiasi chake huku polisi wakifika baadaye kuokoa masalio.

Waume kwa wake walishuudiwa wakijitosa kwenye uporaji huo na kuibuka na chupa za bia kufungulia siku.

Habari Nyingine: Ajuza wa Mau Mau aliyepigania uhuru amlilia Rais Kenyatta kumsaidia

Mambo yalipowazidia polisi, vitoza machozi vililazimika kufyatuliwa lakini baada ya wengi kujinufaisha vilivyo.

Habari Nyingine: Mbunge wa Githunguri aomboleza kifo cha dadake aliyepatikana ameuawa

Read ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke au WhatsApp: 0732482690.

Subscribe to watch new videos

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here